Monday, October 29, 2012

Ommy amsamehe Lord Eyez

Ommy Dimpoz
Nyota wa muziki wa  kizazi kipya nchini Ommy Dimpoz amesema kuwa licha ya kutumia kiasi cha  shilingi milioni 5 kurudisha gari yake kwenye hali ya kawaida hawezi kumchukia msanii mwenzake Lord Eyez anayeshikiliwa korokoroni hivi sasa kwa tuhuma za kuiba vifaa kutoka kwenye gari yake.

“Nafahamu kuwa kuwa siruhusiwi kuzungumza lolote kwa kuwa suala liko Polisi,ninachoweza kukwambia  ni kuwa binafsi nimemsamehe Lord na wenzake, sababu huwezi kujua kuhusu kesho, nimepanga  kukutana naye na kumwambia hili jambo, najisikia vibaya lakini nashukuru kuwa gari yangu nimeshairekebisha na sasa ndiyo ninayoitumia tena licha ya kuwa nimetumiagharama kubwa” alisema Dimpoz.

kichupa kipyaa kuoka kwa diamond nataka kulewa

CLICK HERE TO DOWNLOAD A NEW HIT TOKA KWA DIAMOND-NATAKA KULEWA......

 Click Here to Listen and Download http://www.hulkshare.com/oulgpjipc5xc

Saturday, September 22, 2012

Tuesday, September 11, 2012

huyo diamond cheki mavitu yake hayo..

Diamond's Malindi Tour (Pata Pata Beach Club)


Tulipo wasili Airport me & Romy Jay.....
Hapa nikiwa kwenye Rehearsal...











Romy Jay....



Romy Jay kama kawa kama dawa......

Tukioneshana ujuzi nani zaidi......Lazima ukae Hahaha!

After Swimming.....

Nikisalimiana na Mkurugenzi wa Pata Pata Beach Club....
Romy,Me & Mr. Fedele.....
Nikiwa kwenye Interview kabla ya show......

Mpango mzima ulikuwa hivi......








Mmmh! Sijui kilicho mshangaza mrembo huyu ni nn!!????....







Daaaaah! Sina hata la kusema.....





Nipo na Chief Kiumbe the Boss

After show....