Hatimaye mwanadada Elizabeth Michael a.k.a Lulu amefanya interview yake
ya kwanza rasmi baada ya kipindi cha takribani mwaka mmoja na nusu toka
atoke jela.
Katika kipindi hicho kitakachorushwa hivi karibuni lulu ameongelea mambo
mengi sana hasahasa experience yake ya maisha ya jela na mambo
mengine mengi.
Naye Lulu kupitia mtandao mmoja wa kijamii aliandika.
“Kwa zaidi ya mwaka na nusu sasa!!!hii ni interview yangu ya kwanza baada ya kipindi chote hicho....thanks zamaradi….”
Unahisi ameongelea mambo gani mengine? Tupe maoni yako
blog hii inahusu habari mbali mbali, za michezo, music,na pic mbalimbali!!
Sunday, June 30, 2013
Friday, June 28, 2013
Tuesday, June 25, 2013
MSAFARA WA WEMA SEPETU NI KAMA RAISI AU BALOZI TWENZETU DODOMA...
Wema sepetu akiwa na Team Endless Fame |
Jana wakati muigizaji wa bongo movie star Wema Sepetu anaelekea Dodoma
ku surport kampeni ya kupiga vita uharamiwa wa kazi za kisanaa ANTI
PIRACY kampeni ambayo inaongozwa na kituo cha radio clouds fm, msafara
wa wema ulikua na ki bendera kabisa yenye nembo ya kampuni yake
inayofahamika kama Endless Fame
si ndo hichi sasa, patamu hapo |
msafara ukiwa umepiga stop njiani |
Sunday, June 23, 2013
Friday, June 21, 2013
Thursday, June 20, 2013
Monday, June 17, 2013
Saturday, June 15, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)