Sunday, June 30, 2013

HATIMAYE LULU AFANYA INTERVIEW YA KWANZA TANGU ATOKE JELA!!! ANGALIA ALICHOANDIKA KUPITIA MTANDAO MMOJA WA KIJAMII!!!!

Hatimaye mwanadada Elizabeth Michael a.k.a Lulu amefanya interview yake ya kwanza rasmi baada ya kipindi cha takribani mwaka mmoja na nusu toka atoke jela. Katika kipindi hicho kitakachorushwa hivi karibuni lulu ameongelea mambo mengi sana hasahasa experience yake ya maisha ya jela na mambo
mengine mengi. Naye Lulu kupitia mtandao mmoja wa kijamii aliandika. “Kwa zaidi ya mwaka na nusu sasa!!!hii ni interview yangu ya kwanza baada ya kipindi chote hicho....thanks zamaradi….” Unahisi ameongelea mambo gani mengine? Tupe maoni yako

Tuesday, June 25, 2013

MSAFARA WA WEMA SEPETU NI KAMA RAISI AU BALOZI TWENZETU DODOMA...


Wema sepetu akiwa na Team Endless Fame
 Jana wakati muigizaji wa bongo movie star Wema Sepetu anaelekea Dodoma ku surport kampeni ya kupiga vita uharamiwa wa kazi za kisanaa ANTI PIRACY kampeni ambayo inaongozwa na kituo cha radio clouds fm, msafara wa wema ulikua na ki bendera kabisa yenye nembo ya kampuni yake inayofahamika kama Endless Fame
si ndo hichi sasa, patamu hapo


msafara ukiwa umepiga stop njiani