Wednesday, August 7, 2013

Nay feat Diamond Muziki gani Part2

DIAMOND KATISHAAA.......ACHUKULIWA NDEGE BINAFSI KUTOKA KENYA MPAKA BONGO KUTOKANA NA AJARI YA MOTO YA ASUBUHI

Cocacola
Baada ya tukio la moto la leo kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta, JKIA jijini Nairobi, Kenya, lililosababisha uwanja huo kufungwa kwa muda na kumfanya Diamond Platnumz aliyetua alfajiri ya leo akitokea Afrika Kusini kukwamwa, Cocacola imemchukulia ndege binafsi itakayomleta Dar es Salaam. Kupitia Instagram, Diamond ameshare picha wakati akipenda kwenye ndege hiyo ambamo atakuwa peke yake na rubani. “Had no choice than dat, coz i miss my mum and Baby lyk crazy… @ Wilson Airport Nairobi… can’t wait to see you @rommyjones #I #MySelf #AloneInTheJet #CocaBoy …. #Cocacola Mmetisha sana, asanteni sana,” ameandika. Diamond ni balozi wa Cocacola. Hizi ni bei za kukodi ndege binafsi nchini Kenya. Air Charter Rates at HKNW
Turbo-Props: $1,200 – $1,800/hr
Light Jets: $1,900 – $2,650/hr
Mid-size Jets: $2,700 – $3,400/hr

Monday, August 5, 2013

HILI NDILO GARI JIPYA AINA YA BENZI ANALO ENDESHA STAA WA BONGO MUVI MWANA DADA IRENE UWOYA lenye thamani ya Tsh.Milion 150


OLYMPUS DIGITAL CAMERA
Irene Uwoya ambae ni Mrs Ndikumana akiwa pia ni mama Krish hivi karibuni ameingia kwenye headlines na TV show yake mpya kabisa ambayo itaoneka @CloudsTV jumanne wiki hii,

Ni Mercedes Benz S Class 550 Sedan yenye rangi ya Black metalic ambapo japo gharama imebaki kuwa siri ukicheki kwenye mtandao wa Mercedes Benz US ndinga kama hii ikiwa mpya ina-cost $ 95,000.
OLYMPUS DIGITAL CAMERA

OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA

Source--millardayo