Thursday, September 6, 2012

Ushaiona hiyoo!!!


KUWA MENEJA MPAKA KUINGIA KUIMBA "MR PROJECT aka MENEJA MANENO"

Huyu ndio yule anayeitwa meneja Maneno ambaye alishawahi kuwa meneja wa wasanii kadhaa wa bongo fleva na hivi juzi juzi alikuwa kwenye kundi la Watanashati na tukasikia stori mingi kuwa amefukuzwa mara sijui nini sasa na yeye ameingia kwenye muziki ila yeye kaja kitofauti kidogo ameimba kwa lugha ya kisukuma sasa sijui ndio anawaponda na yeye au la. 
Sikiliza wimbo wake huu mpya unaokwenda kwa jina la UNANI.

No comments:

Post a Comment