Sunday, June 30, 2013

HATIMAYE LULU AFANYA INTERVIEW YA KWANZA TANGU ATOKE JELA!!! ANGALIA ALICHOANDIKA KUPITIA MTANDAO MMOJA WA KIJAMII!!!!

Hatimaye mwanadada Elizabeth Michael a.k.a Lulu amefanya interview yake ya kwanza rasmi baada ya kipindi cha takribani mwaka mmoja na nusu toka atoke jela. Katika kipindi hicho kitakachorushwa hivi karibuni lulu ameongelea mambo mengi sana hasahasa experience yake ya maisha ya jela na mambo
mengine mengi. Naye Lulu kupitia mtandao mmoja wa kijamii aliandika. “Kwa zaidi ya mwaka na nusu sasa!!!hii ni interview yangu ya kwanza baada ya kipindi chote hicho....thanks zamaradi….” Unahisi ameongelea mambo gani mengine? Tupe maoni yako

No comments:

Post a Comment